Rais
John Magufuli akisindikizwa na Meya wa Kinondoni, Boniface Jacob
(Chadema) jana, baada ya kutembelea na kuzungumza na wakazi wa
iliyokuwa Magomeni Kota jijini Dar es Salaam.
LAKINI BAADA YA HAPO MEYA HUYU HAKUPEWA NAFASI YA KUONGEA NA WANANCHI WAKE LAKINI MKUU WA MKOA NA MKUU WA WILAYA WAKAPEWA NAFASI KUBWA..
KIUKWELI HII HAIJAWAHI KUTOKEA SEHEM NYINGINE YOYOTE ILA TANZANIA NA IKUMBUKWE YA KWAMBA MEYA NI MTU MKUBWA KULIKO MKUU WA WILAYA ILA WATAWALA WANAONA AKIONGEA ...
See More

No comments:
Post a Comment